huelewi umuhimu wa ice cream..unaponda sana chocolate…eenh sinapenda viroba…acha vikutingishe..hela huna afya huna..unaboa kaka…kubuuum kubaaaah…daaagh die harder…basi unajiona mseeeelaaa…mmmh…we bishoo tuuu…aaagh kwani usela ujanja..sasa brazamen men huna vifaa..takataka tu…mmmh.. maisha yako wewe..unayajua mwenyewe..acha kelele…soma…mmmh…itanisaidia nini..basi kalale..unaniogopa..aaaagh staki stori…si ulisema we mathematics…swali hili solve…khaaaa am sleeping…jifunze mwenyewe…
kikohozi kukauka kwa koo…!!!
mmmh…braza..mtata..!!!